Nahodha wa timu ya Majimaji Danny Mrwanda amesema, waamuzi wa michezo ya
Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara wanatakiwa kuchezesha michezo yote kwa
haki ili kila timu iweze kupata matokeo halali.
Mrwanda
amesema, wanakatisha tamaa wachezaji kwani waamuzi wengi wamekuwa
wakiingia uwanjani wakiwa na matokeo suala ambalo linamnyima mchezaji
nafasi ya kuweza kuonyesha uwezo wake.
Mrwanda amesema, kila mchezaji anahitaji kuonyesha uwezo wake lakini imekuwa ngumu kwa wachezaji kwani waamuzi wamekuwa wakizipa matokeo mazuri timu bila kujali zinauwezo au hazina.
Mrwanda amesema, kila mchezaji anahitaji kuonyesha uwezo wake lakini imekuwa ngumu kwa wachezaji kwani waamuzi wamekuwa wakizipa matokeo mazuri timu bila kujali zinauwezo au hazina.
DOWNLOAD
APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA
KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD
BONYEZA HAPA
Post A Comment: