ads

KITUO cha Afya nchini Marekani kimeeleza kuwa, takwimu ya watu wanaojiua katika taifa hilo imeongezeka kwa asilimia 25 katika kipindi cha miaka 15 iliyopita,


    Idadi hiyo inatajwa kuwa kubwa kuwahi kutokea nchini humo tangu mwaka 1980 ambapo utafiti huo umefanywa kwa watu warika zote huku wanawake wenye watu wazima idadi yao imenaonekana kuwa juu kwa asilimia 36.

Fifo vya wasichana wa umri wa kati ya miaka 10 na 14 vimeongezeka mara tatu zaidi katika kipindi hicho huku wataalmu wakisema, huenda vitendo hivyo vinachangiwa na mitandao ya kijamii.

Profesa Robert D Putnam, Chuo Kikuu cha Harvard amesema, uhusiano baina ya umaskini na hali ya afya pia huenda ikawa ni visababishi.

DOWNLOAD APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD BONYEZA HAPA
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: