Leo
ntaongelea matibabu ya nguvu za kiume kwa watu walioathirika na punyeto ili na
wengine ambao hawakupata matibabu yangu wafaidike kama ifuatavyo.
Hakikisha umeacha punyeto kabisa: ili upone tatizo hili
hutakiwi kua mtu wa kubadilika mawazo hovyo, kama umeamua kuacha basi acha
kabisa na futa kichwani kwako. Jisemee moyoni kwamba mimi Fulani nimeacha tabia
hii na sitarudi nyuma. Kama wewe ni mtu wa imani shika kitabu kitakatifu kabisa
kulingana na imani yako.
Amsha mfumo wako wa fahamu na mzunguko wa damu sehemu za
siri; hii tunaiita booster, kuna virutubisho tunatoa kwa mwezi mmoja
ili kushtua nguvu za
kiume zilizokua zimepungua kwa kuongeza msukumo wa damu nyingi kwenda
sehemu za siri kutokana na madhara haya ya punyeto kisha ataendelea
staili ya maisha safi yaani chakula bora na
mazoezi na kua sawa kama zamani.. virutubisho hivyo ni vya asili havina
kemikali hata kidogo.{unaweza kuwasiliana na mimi kwa namba yangu hapo
chini kupata dawa hii kama unahitaji}.
Mazoezi: kama wewe ni mtu unayeishi bila mazoezi kabisa
hutaweza kurudisha nguvu hizo, hivyo unahitaji kufanya mazoezi yeyote angalau
nusu saa kwa siku. Inaweza kua kuruka kamba, push ups, kukimbia, kuogelea na
kadhalika. Mazoezi haya ndio yanayofanya mzunguko wa damu ue mzuri na wewe
usimamishe uume vizuri. Onyo: mazoezi yasiwe makali sana kwani yatakumaliza
nguvu za kiume.
Kula chakula bora cha asili; vyakula vya viwandani vina
kemikali nyingi sana na ndio vyakula vinaliwa sana kwenye kizazi chetu hichi
cha sasa hivi ndio maana shida hizi zamani hazikuwepo ila siku hizi hata kijana
mdogo analalamika kuishiwa nguvu za kiume. Kula ugali, maharage, viazi, maziwa
mgando, karanga, korosho, mihogo na vyakula vyote vya asili unavyofahamu ila
punguza ulaji wa nyama kwani hauna matokeo mazuri kwenye tiba hii.
Kunywa maji mengi sana; kusimama vizuri kwa uume kunategemea
sana mzunguko mzuri wa damu mwilini hivyo kama mwili una maji mengi ni rahisi
damu kwenda vizuri kwenye uume. Nikukumbushe kwamba ni wingi wa damu unaopelekwa
sehemu za siri zako na kufanya uume wako usimame vizuri.. pia mwili unatoa
kipaumbele vya damu nyingi kwa viungo vinavyotupa uhai kwanza kwa maana
nyingine damu yako haiwezi kuacha kwenda kwenye ubongo, figo na moyo kwanza afu
iende kwenye uume. Upe mwili sababu za kupeleka damu ya ziada kwenye uume wako
kwa kunywa maji mengi.
IMEANDIKWA NA sirizaafyabora.blogspot.com
Post A Comment: