Hii
sasa shida! ni baada ya mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Cristiano
Ronaldo kufunguliwa kesi na kampuni ya udalali kutoka Italia ambayo
inamdai fidia ya pauni million 7.8 kwa madai ya kuichafulia jina.
Lakini
wakati kampuni hiyo ikifikia uamuzi huo kwa kufungua kesi katika
mahakama ya jiji la Madrid, mmoja wa maofisa wa mahakama hiyo amefichua
siri kwamba Ronaldo amegawa nyumba take ya kifahari ya jijini New York,
Marekani kwa mwanamasumbwi Badr Hari raia wa Morocoo.
Post A Comment: