mastaa wengi wameamkia kwenye siasa mwaka huu ni wengin wametutakangazia nia ya kugombea ubunge katika mikoa mbalimbali tanzania wasanii hao ni kama wema sepetu,steve nyerere,king majuto na wengine kibao keisha nae hajakubali kubaki nyuma nae ni miongoni mwawaliotutangazia nia
keisha ametuandikia kwenye ukurasa wake wa intastagram kuwa>>>.Najua wengi mnajiuliza maswali mengi juu yangu kwanini nimeamua kuingia kwenye siasa lakini leo naomba niwaambie kitu mimi kama mlemavu wa ngozi najipenda na najikubali yote tisa na pigana kwa uhuru na amani tunayostahili kuipata nchini kwetu, nilipoanza kupost picha za siasa kuna walionipongeza kuna walionisema kuwa sina uchungu na wenzangu kwa kuwa wanaisi nimeingia huku kwaajili ya kujinufaisha mwenyewe mimi ni mpiganaji na ndio maana siku zote nimekuwa nikiwazakuhusu amani yetu. fimbo ya mbali haiui nyoka na kidole kimoja hakivunji chawa nikiwa na maana kwa ni lazima tusimamamie sheria zitakazotusaidia kuendeleza amani, hivyo basi lazima tuwe na wawakilishi wa kutosha ndani ya bunge ili sauti zetu zisikikeili sheria kutungwa na kutekelezwa pia.
pia keisha ameomba support kwa wadau watakao taka kumsaidia ameandika haya>>>hivyo mimi kama mtanzania mwenzenu naomba support yenu ili tuweze kufikia malengo yetu hivyo kwa yeyote mwenye upendo nasi na anataka na harakati zangu anisaidie kwa chochote kitakachonifikisha ninapotaka this is my Tigo namba 0718 785045 na hii ni account namba yangu ya crdb 011 2022295800 jina ni hadija shabani taya unaweza kuchangia humo
Post A Comment: