ads

Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za Nishati na Maji(EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaanza kutumika kesho ambapo bei ya mafuta ya Petroli imeshuka kwa shilingi 36 kwa lita, Dizeli ikishuka kwa shilingi 44 kwa lita, ilihali bei ya mafuta ya taa ikipanda kwa shilingi 24 kwa lita.


Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Mamlaka hiyo, Titus Kaguo amesema bei hizo ni kwa mafuta yanayopakuliwa jijini Dar es Salaam, ili hali yale ya mkoani tanga yakibakia bei yake ileile ya mwezi uliopita.
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: