ads

Siku Chache Baada Ya Mbunge Wa Sengerema, William Ngeleja (CCM), Kutangaza Kwa Umma Kuwa Amerejesha TRA Fedha Za Mgao Wa Tegeta Escrow Alizopata Tsh. 40.4 Milioni Na Kupewa Risiti, TRA Wameibuka Na Kusema Hawazitambui Fedha Hizo.


Mkurugenzi Wa Elimu Kwa Umma Wa TRA, Richard Kayombo Amesema Mamlaka Hiyo Inahusika Na Kuhakikisha Serikali Inakusanya Kodi Stahiki Na Siyo Urejeshwaji Wa Fedha Za Kashfa Kama Escrow.

"Fedha Za Escrow Zinaihusu Vipi TRA? Tunawezaje Kukaa Na Kuzungumzia Fedha Ambazo Si Zetu? Mimi Nashauri Watafutwe Wenyewe Wazungumze Kama Wanataka Kurejesha Lakini Siyo Sisi" - Alisema Kayombo.
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: