Waziri Mkuu wa zamani, Mhe. Edward Lowassa amewasili leo, Julai 20 saa mbili asubuhi makao makuu ya Jeshi la Polisi kwenye ofisi za Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz na kutakiwa kurudi tena hapo baada ya wiki tatu.
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amewasili leo, Julai 20 saa mbili asubuhi makao makuu ya Jeshi la Polisi kwenye ofisi za Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz na kutakiwa kurudi baada ya wiki tatu na kwamba upelelezi haujakamilika.
Lowassa ambaye aliambatanna na mkewe, Regina Lowassa pamoja na mwanasheria wake, Peter Kibatala. alitakiwa kwamba kurudi nyumbani muda mfupi alipo wasili kituoni hapo kwa mahojiano kwa mafai kwmba upelelezi haujakamilika.
Hii ni mara ya nne kwa Lowassa kuripoti hapo akituhumiwa kutoa kauli za kichochezi wakati wa futari iliyoandaliwa Juni 23, na Mbunge wa Ukonga, Mhe. Mwita Waitara.
Post A Comment: