ads

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ni moja ya maelfu ya mashabiki waliohudhuria uwanja wa Taifa kushuhudia mechi kati ya Everton na Gor Mahia.


Dkt Kikwete hakuwa peke yake pia aliongozana na Rais Mwenzie Mstaafu wa awamu ya Pili Mhe. Alhaji Hasani Mwinyi.

“Leo nimeungana na wananchi wenzangu kuangalia mechi ya Everton na Go Mahia.“ameandika Mhe Kikwete kwenye ukurasa wake wa Twitter.

Kwenye mchezo huo Everton wameigaragaza Gor Mahia kwa goli 2-1, Magoli ya Everton yamefungwa na Wayne Rooney na Kieran Dowell huku goli pekee la kufuta machozi la Gor Mahia likitundikwa kimyani na Tuyisenge Jacquer.
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: