ads

Nchi hii inashida Kuu. Ofisi za maDC wao na staff na utendaji kwa mwaka zinatumia zaidi ya 300bn.Pale wilayani kuna DED, OCD& Mwenyekiti Halmashauri. 


Tungeweza kuzifuta Ofisi hizi , majukumu yake mengi akapewa DED &OCD na mengine ya itifaki akapewa Mwenyekiti Halmashauri. 

Hizo300bn tukaongeza kwenye ruzuku ya mbolea iloshuka toka 78bn mpaka 10bn.tukiweka 300bn wakulima wataona tofauti. 

Tanzania wastani wakulima wanatumia 9kg ya mbolea kwa eka1 wakati Malawi 29kg na China ni zaidi ya 260kg ndio sababu ya tofauti ya productivity.

Sasa tunajaza vijana kwenye vyeo vya uDC badala ya kuwarudisha shule wakasomee taaluma badala ya kamatakamata
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: