Mufti Mkuu, Sheikh Abubakar Zubeir amesema mwezi haujaonekana leo hivyo amewasihi waislamu kote nchini waendelee na mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kutimiza siku 30 kama ilivyoekelezwa katika Quran.
Amesema kuwa kutokana na mwezi kutoonekana hapo jana, sikukuu ya Eid El Fitr itakuwa Jumatatu ya tarehe 26 mwezi Juni 2017.
Post A Comment: