Kama inavyoonekana kwenye picha kalamu nyingi za aina ya BIC huwa kifuniko chake kimetobolewa, sasa unafahamu ni kwa nini?
Kama haufahamu sababu ni kwamba kuna watu ambao hutafuna hivi vifuniko sasa kama ikitokea bahati mbaya ukakibugia na kukwama kooni basi itakusadia kuendelea kupumua kwa kutumia hilo tundu juu ya kifuniko na hivyo kuokoa masiha yako!
Hiyo ndiyo sababu kama ulishawahi kujiuliza swali kwanini kuna shimo kwenye kifuniko?
Post A Comment: