![ads](http://1.bp.blogspot.com/-J5aEnGVep5k/WJTrf2fzuPI/AAAAAAAAU5U/_iuE-DY1RHAM5_hqPHb-UuNbabG2xn2nwCK4B/s1600/AdvertiseHere.jpg)
Modo, Muigizaji na Mwanamuziki Jokate Mwegelo ameudhihirishia Umma Penzi lake na Star wa Bongo Flava Ali Kiba.
Mpaka jana mchana Mashabiki walikuwa wakisubiria nini ambacho Mrembo
huyo ataandika juu ya siku ya kuzaliwa ya Laazizi wake Ali Kiba.
Jokate ametumia lugha ya Kifaransa kuandika hisia zake kwa Kiba, huku
akionesha ni jinsi gani ‘amezama’ kwenye Huba na hit maker huyo wa Aje.
“Baby happy birthday I love you so much,it is paining,I hope that the
French has sang you prepare for that, but I want nothing,but the best
for you from the bottom of my heart the rest I leave to God for what
happens to know that Jojo doesn’t disturb and that am happy to have you
as my friend,rest blessed” ameandika.
DOWNLOAD
APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA
KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD
BONYEZA HAPA
ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
Post A Comment: