![ads](http://1.bp.blogspot.com/-J5aEnGVep5k/WJTrf2fzuPI/AAAAAAAAU5U/_iuE-DY1RHAM5_hqPHb-UuNbabG2xn2nwCK4B/s1600/AdvertiseHere.jpg)
Mzee Ibrahim
Akilimali amesema wazee wote wa timu hiyo wanamkubali Lwandamina na
wanachohitaji kuona kwake ni kufanya vizuri katika mashindano ya
kimataifa.
Akilimali
alisema timu yao imecheza mechi nyingi za kimataifa misimu miwili
iliyopita, lakini walikuwa hawafiki mbali zaidi kama wanavyotarajia.
“Ukweli
bila ya kuficha, wazee wote wa Yanga nikiwamo mimi mwenyewe hatuna
shaka na ujio wa Lwandamina na tuna matumani makubwa kuwa ataleta kitu
katika kikosi chetu ambacho tunatamani kuona kinafanya vizuri zaidi
kimataifa.”
DOWNLOAD
APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA
KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD
BONYEZA HAPA
ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
Post A Comment: