ads

RAIS wa zamani na kiongozi wa Mapinduzi nchini Cuba Fidel Castro amefariki Dunia mapema hii leo  .


Fidel ambaye alifanikisha kuikomboa nchi ya Cuba katika mikono ya Serikali ya kinyonyaji,amefariki hii leo akiwa na umri wa miaka 90.

Taarifa za kifo chake zimetangazwa na Rais wa Cuba ambaye pia ni mdogo wake Mh Raul Castro kupitia luninga ya Taifa.

Hivi karibuni Fidel alipata wasaa wa kuwaaga wanachama wa chama chake cha kijamaa na kuwaambia muda mfupi angelifariki dunia,lakini mapinduzi ya kijamaa yataishi.
 
DOWNLOAD APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD BONYEZA HAPA  

ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: