
Bondia Thomas Mashali (pichani) amefariki usiku wa kuamkia leo baada ya kuuwawa na watu wasiojulikana Kimara, Dar es Salaam.
Mwili
wa Bondia huyo umeifadhiwa hospitali ya Taifa Muhimbili huku taratibu
za mazishi zikiendelea nyumbani kwake Kwa Mtogole, Dar es Salaam.
Mmoja wa wanafamilia wa Bondia huyo, ambaye hakutaka kuandikwa alithibitisha kutokea kwa kifo cha Bondia huyo.
Mapema
jana, Mashali alishiriki kwenye kongamano la ngumi na kuchangia mada ya
mabondia kunyanyaswa na mapromota kwenye mapambano.
DOWNLOAD
APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA
KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD
BONYEZA HAPA
ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
Post A Comment: