
Wabunge wa Chadema
ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamefanya uchaguzi wa
wajumbe watano wa Kamati Kuu ya chama hicho.
Katika
Uchaguzi huo uliofanyika Jumapili Oktoba 30, mwaka huu, waliochaguliwa
kuwawakilisha kundi la wabunge ndani ya chombo hicho cha maamuzi
1. Tundu Antipas Lissu
2. Godblesss Jonathan Lema
3. Joseph Osmund Mbilinyi
4. Ester Amos Bulaya.
DOWNLOAD
APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA
KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD
BONYEZA HAPA
ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
Post A Comment: