ads

Siku chache baada ya Serikali kumpa notisi ya siku 90 Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye   ikimtaka kuyaendeleza mashamba yake kwa kipindi hicho, viongozi wa Ukawa wamesema kitendo hicho ni kutengeneza chuki endelevu na kujenga Taifa la visasi.


Juzi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi alisema Sumaye amepewa siku 90 kuyaendeleza mashamba yake ya Mabwepande jijini Dar es Salaam na Mvomero mkoani Morogoro la sivyo atafutiwa hati ya umiliki wake.Hata hivyo,

 Sumaye ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chadema alisema notisi hiyo ni matokeo ya chuki za kisiasa baada ya kuihama CCM.

DOWNLOAD APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD BONYEZA HAPA  

ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI

ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: