ads

MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Charles, amesema katika kipindi cha miezi sita ya uongozi wake, mapato ya jiji yameongezeka kutoka Sh. milioni 580 mpaka Sh. bilioni 1.2 kwa mwezi.


Akizungumza jana, alisema ongezeko hilo la Sh. milioni 620 kwa mwezi, limetokana na kutoa elimu ya kutosha kwa wafanyabishara.

“Kiukweli najivunia hatua hii ya kuongezeka kwa mapato na lengo letu ni kukusanya Sh.bilioni 2 kila mwezi. Tulipofikia ni hatua nzuri kuelekea kule tunakotaka,” alisema.

Alifafanua kuwa mapato yaliyokusanywa yameendeleza miradi mbalimbali ikiwa ni pamoja na ukarabati wa kituo cha mabasi yaendayo mikoani na yale ya nchi jirani cha Ubungo.

DOWNLOAD APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD BONYEZA HAPA  

ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: