![ads](http://1.bp.blogspot.com/-J5aEnGVep5k/WJTrf2fzuPI/AAAAAAAAU5U/_iuE-DY1RHAM5_hqPHb-UuNbabG2xn2nwCK4B/s1600/AdvertiseHere.jpg)
Muda mchache baada ya Rais Magufuli kutoa kauli akiwa Singida kuwa
walioshinda tu ndio wafanye siasa kwenye maeneo yao ili wasiingie kwenye
majimbo mengine,
Lissu ameweka wazi kuwa Magufuli anavunja umoja wa kitaifa.
Lissu alihoji kauli ya kwamba Chadema ni marufuku kufanya siasa ilikoshinda CCM na kinyume chake ndiko ulikofikia uwezo wa Rais wetu wa kufikiri.?
Aliongeza kwamba, ni hawa ndio wanaohubiri umoja wa kitaifa kila kukicha?
Lissu aliweka bayana kuwa anachoweza kujidai nacho Magufuli sio nguvu ya hoja yake bali ni nguvu ya vyombo vya mabavu anavyodhibiti.
DOWNLOAD
APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA
KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD
BONYEZA HAPA
ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
Post A Comment: