Star wa RNB kutoka kanda ya kati Bernald ‘Ben’ Pol, amesema yeye
maoni ya wadau yawe mazuri au mabaya anayachukulia kama changamoto
kwenye kazi zake.
Ben amedai kuwa yeye ni mmoja kati ya wasanii wanyenyekevu na wanaopenda kusikiliza maoni ya watu ambao wanawazunguka.
“Mimi maoni ya mtu yeyote naheshimu, yawe mabaya au mazuri yote nayachukulia kama Changamoto” Alisema.
Post A Comment: