Kundi la watoa misaada 10 kutoka nchi za magharibi wametangaza kusitisha ufadhili wao kwa bajeti ya serikali ya Tanzania.
Hii
inafuatia uamuzi wa shirika la utoaji misaada la serikali ya marekani
kuondoa msaada wa dola 472 wa kufadhili miradi ya maendeleo kutokana na
jinsi uchaguzi wa kisiwa cha Zanzibar ulivyoendeshwa.
Karibu
theluthi moja ya bajeti ya Tanzania ilitegemea msaada mwaka uliopita,
kwa hivyo hatua hizo za hivi punde ni pigo kwa mipango ya maendeleo ya
serikali mpya.
Post A Comment: