Watu wenye silaha leo mchana wamevamia nyumbani kwa Makamu wa Rais William Ruto eneo la Sugoi, Kaunti ya Uasin Gishu.
Habari kutoka eneo hilo zinasema watu hao walimzidi nguvu ofisa wa polisi aliyekuwa analinda geti na kuingia ndani.
Uvamizi huo umekuja siku moja baada ya wanamgambo wa Al Shabaab kuliteka gari la kampeni la msafara wa chama cha Jubilee katika eneo la Mandera.
Post A Comment: