Mahakama ya Rufani imetupia mbali rufaa iliyokatwa na wapiga kura wanne wa Jimbo la Bunda Mjini Mkoani Mwanza ya kupinga ushindi wa Mbunge, Esther Bulaya katika uchaguzi Mkuu wa Wabunge, Madiwani na Rais wa Tanzania ulifanyika Oktoba 25 mwaka 2015.
Muda mchache kupita kwa maamuzi hayo Mbunge huyo kupitia ukurasa wake wa twitter ameandika maneno machache ambayo amemshukuru Mungu kwa kitendo cha kushinda kesi hiyo dhidi ya wapiga kura hao.
Post A Comment: