ads

Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama leo mchana itakutana ili kujadili masuala ya kiusalama ikiwamo ya kuuawa kwa polisi na raia nchini.


 Spika wa Bunge, Job Ndugai ameyasema hay oleo baada ya kipindi cha maswali na majibu alipokuwa akijibu muongozo wa Mbunge wa Bukombe, (CCM) Dotto Bitteko.

 Polisi wanane waliuawa na watu wanaodaiwa kuwa majambazi, wilayani Kibiti, mwishoni mwa wiki iliyopita.
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: