Ikiwa sasa zimepita wiki tatu tu tangu Rapa Darassa ameachia wimbo wake
wa 'Muziki' mpaka sasa video ya wimbo huo imeweza kutazamwa na zaidi ya
watu milioni mbili kwenye mtandao wake wa 'Youtube'
Darassa anakuwa Rapa kwa kwanza kwa video yake kutazamwa na watu
wengi zaidi ndani ya wiki tatu tu huku akiwazidi hata wasanii wengine wa
kuimba ambao waliachia kazi katika kipindi kimoja.
Mashabiki wa muziki mzuri wamefurahia hatua ambayo rapa huyo amepiga
na kumpongeza huku wengine wakisema kuwa ukifanya kazi nzuri lazima
itapendwa na kupata watazamaji wengi zaidi kama ambavyo imetokea kwa
Darassa na wimbo wake 'Muziki'
DOWNLOAD
APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA
KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD
BONYEZA HAPA
ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI



Post A Comment: