Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Mgufuli , leo
Tarehe 20 November , 2016 ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa bodi ya
wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Bw.Bernard Mchomvu.
Mbali na kutengua uteuzi huo, Rais Magufuli pia amevunja bodi hiyo kuanzia leo.
Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imebainisha kuwa uteuzi wa mwenyekiti mwingine pamoja na bodi nzima ya mamlaka hiyo utatangazwa baadaye.
Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imebainisha kuwa uteuzi wa mwenyekiti mwingine pamoja na bodi nzima ya mamlaka hiyo utatangazwa baadaye.
DOWNLOAD
APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA
KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD
BONYEZA HAPA
ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI

Post A Comment: