Mara nyingi ndoto huja kama fumbo au mfano ili
kuelewa maana ya ndoto uliyoota yakulazimu ufahamu nini maana ya fumbo
au mfano ulio uona katika ndoto.
Kuota kitendo cha karaha au kuudhi haimaanishi kua hiyo ndoto ni mbaya. Mfano kuota unajisaidia haja kubwa au ndogo
MAANA YA KUJISAIDIA
Kwanza ifahamike kuwa kujisaidia ni tendo la kushusha au kuondosha takamwili
zilizo katika mwili, kwahiyo mwenye kuota anajisaidia haja kubwa au ndogo
hii inamaanisha kuwa mtu huyo ameshusha au atashusha mambo yenye
kumuhemeza,
Hii inamaanisha kuwa mtu huyo ataondokewa na matatizo na mambo
magumu alionayo.
NB: Tofauti kati ya haja kubwa na ndogo ni kwamba (1) Ukiota
unajisaidia haja kubwa hii ina maanisha utaondokewa na Matatizo makubwa
na madogo ulionayo.
(2) Ukiota unajisaidia haja ndogo inamaanisha utaondokewa na matatizo madogomadogo tu ulionayo
MAKALA HII IMEANDIKWA NA KUPATIKANA PIA KUPITIA Bashamsia Blog
DOWNLOAD
APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA
KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD
BONYEZA HAPA
ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
Post A Comment: