Muziki wa Tanzania unaendelea kukua kila kukicha! na imekuwa na chanzo kikubwa cha ajira kwa baadhi ya vijana hapa Tanzania! Diamond Platnumz ni mmoja ya wasanii ambao wana mafaniko sana katika ukanda huu wa Afrika ya Mashariki, Mafanikio ya Diamond yameweza kunufaisha pia Dancers wake.
Diamond Platnumz kupitia mtandao wa Instagram ameandika “Huwa nafarijika na kumshukuru sana Mwenyezi Mungu ninapoona vijana wenzangu ninaofanya nao kazi licha ya kidogo tukipatacho ila wanakuwa na akili ya kukitumia kimaendeleo… Mwenyezi Mungu akuongeze akili na maarifa ufanye mengi mazuri zaidi ya hili @dumyutamu @dumyutamu @dumyutamu“


Post A Comment: