Leo kulikuwa na mtanange kati ya Arsenal na Chelsea katika ufunguzi wa ligi kuu Ngao ya Jamii, Arsenal imefanikiwa kuwa mshindi wa mechi hii baada ya kuifunga Chelsea bao moja kwa bila, Goli la Arsenal limefungwa katika dakika ya 24 na mchezaji Alex Oxlade-Chamberlain.
Mchezo huu uliandamwa na kadi za chano katika kila upande! katika dakika ya 65 Cesar Azpilicueta wa Chelsea alipata kadi ya njano! na katika dakika ya 68 pia Mchezaji wa Arsenal Francis Coquelin nae alipata kadi ya njano.


Post A Comment: