Kuelekea uchaguzi mkuu october vyama mbalimbali viko katika mchakato wa kupata wagombea ambao watasimama katika uchaguzi mkuu, Katika jimbo lililokuwa linaongozwa na January Makamba leo wamefanya uchaguzi wa wabunge jii leo.
January Yusuph Makamba amepata kura 17,805 halafu mgombea mwingine ni Abdulkadir Abdi Mgheni yeye amepata kura 2,403 , Abubakar Juma Mshihiri yeye amepata kura 205 na Yusuph Juma Shekwavi amepata kura 69.


Post A Comment: