ads
Ramdhaan singano messi leo amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea azam fc, ikiwa ni siku mbili baada ya shirikisho la soka Tanzania TFF kupitia kamati yake ya maadili na hadhi za wachezaji kuvunja mkataba wake na klabu aliyokuwa akiitumikia ya simba

messi ataungana na wachezaji wenzake katika mazoezi ya Azam Fc yanayofanyika chini ya kocha mwingereza Stewart Hall
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: