Nchi ya msumbiji imepitisha sheria inayohalalisha mapenzi ya jinsia moja na kuwa miongoni mwa nchi chache barani afrika kuruhusu ndoa ya jinsia moja
sheria hiyo iliwekwa na wakoloni wa nchi hiyo, ureno awali ilifuatwa na bunge la nchi hiyo , watetezi wa mapenzi ya jinsia moja ,wametaja hatua hiyo kama ushindi mkubwa
hata hivyo nchi nyingi za afrika zimewekewa sheria kali dhidi ya wapenzi wa jinsia moja nigeria iliweka adhabu ya miaka 14 jela kwa watakao jihusisha na mapenzi ya jinsia moja wakati huo uganda imeapa kurejesha sheria kali kwa watakaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja sheria ya awali ilitupiliwa mbali na mahakama ya kikatiba.
msumbiji sasa anajiunga na mataifa menginge akiwa pamoja na jamhuri ya kidemocrasia ya watu wa congo , Ivory Coast na Afrika Ya Kusini ambapo sio hatia kuwa mpenzi wa jinsia moja.
Post A Comment: