ads
Mkongwe wa filamu bongo muvi amri Athumani King Majuto amefunguka kuhusu shutuma anazopewa na mashabiki wake kwa kupenda kuonekana na vibinti na kudai kuwa wanamshobokea wenyewe

king majuto ambaye kifani ni bigwa wa komedi amesema kutokana na kazi yake imemfanya kizimikiwa haswa na mabinti

sijawahi kumshobokea binti yeyote ila wao wenyewe ndio wanaonishobokea kutokana na uigizaji wangu " Alisema King Mjauto"

Hivi karibuni inasemekana king majuto ameoa binti mdogo sawa na mjukuu wake mwenye umri wa miaka 18 na kusema kuwa dini inamruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja.
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: