ads
Chelsea imemsajili mshambuliaji wa Monaco Rademel  Falcao kwa makubaliano ya mkopo ila kunauwezekano wa kuongeza kandarasi hiyo na kuwa ya kudumu

falcao mwenye umri wa miaka 29 alichezea kama mchezaji wa mkopo manchester united na kufanikiwa kufunga mabao nane katika mechi 29
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: