ads
Ripoti zinasema barcelona ilijaribu kumsajili raia huyo wa ufaransa mwenye umri wa miaka 22 ambaye aliisaidi juventus kushinda ligi za serea A na kufika fainali kombe la vilabu bingwa ulaya

kunamchezaji tunayempenda Paul Pogba Tunamjua ajenti wa mchezaji huyo na hili ni swala muhumi katika operation zetu, tutajadiliana na wakala wake pamoja na klabu ya juventus. Alisema laporta

siku ya jumatano viombo vya habari nchini hispania na Italy vilisema klabu ya Barcelona imetoa kitita cha yuro milion 80 kwa mchezaji huyo wa zamani wa manchester united pia anhusishwa na uhamisho katika vilabu vya manchester city na Chelsea
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: