ads
Chama cha ACT wazalendo kimebaini kuwepo kwa mipango inayoratibiwa na CHADEMA ya kuhujumu mikutano yake mabalimbali

hujuma hizo zimebainishwa jana na katibu mipango taifa ACT habibu mchange aliyesema kuwa chama hicho kimekuwa kikishughulikia ACT na kusahau kuwashughulikia watanzania

Chadema wamekuwa wakitufuatilia kila mahali tunapofanya mkutano na hili wamelifanya kwasababu ya kutuhofia kwa mfano tulipo tangaza kufanya kumtano mwanza na wao wakatanga kufanya tukawashinda , kesho tumetangaza kufanya mkutano na wao wametsngaza kufanya kawe

chadema tunawaone hurama sana kwasababu tutakuja kuwafanya kitu ambacho hawatakuja kusahau katika siasa za tanzania kwasababu njia nyingi wanazozitumia ni zile tulizoziratibu tukiwa kule alisema mchange

katika hatua nyingine mchange amesema baada ya mikoa mbalimbali sasa ACT kupitia viongozi wake wa taifa wamepanga kufanya mkutano kesho jijini Dar Es Salaam katika viwanja vya mwembe chai.

ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: