
Subscribe ndio neno gumu zaidi kwa wabongo kuliko kutafuna jiwe kama ilivyo kwa Waingereza kutamka Mwanjelwa..husema Monjela
Pamoja na vionjo hivyo..kwenye Simba Day ya mwaka huu ntakuja na style tofauti ya kutambulisha wachezaji...njoo ushuhudie mwenyew..usingoje kuhadithiwa ni Jtano hii pale dimba la Taifa... #SimbaDay #KibingwaZaidi π΅πͺπ΅πͺ
Serikali yatoa tamko kuadimika mafuta ya kula nchini
Waziri Kigwangalla atetea ununuzi wa ndege
Zitto Kabwe amshauri Job Ndugai
Bunge lataka tende zifutwe kodi mfungo wa Ramadhani
Mo Dewji afunguka jinsi anavyopiga pesa kupitia kilimo
Diwani wa Mbuguni, Bw. Ahimidiwe Ali Rico amesema kwamba watu wasihamishe mjadala wa kuhusu mamlaka ya kurekodi madiwani waliohama Chama cha demokrasia na Maendeleo, CHADEMA na badadala yake mjadala ni kuhusu kupambana na rushwa.
Bw. Ahimidiwe amesema kwamba hana unafki wala nidhamu ya uoga ndiyo maana aliamua kufanya kazi hiyo ili kulikomboa taifa kutoka kwenye harufu ya rushwa na kuwataka wanaozusha maneno watulie kabla hajawaaibisha zaidi.
Diwani huyo ameweka wazi kwamba mkakati huo wa kurekodi na kuwachunguza viongozi wanapokea na kutoa rushwa ulianza muda mrefu na kwamba yupo makini katika hilo na wala siyo filamu kama jinsi ambavyo wanasiasa hao walivyoanza kuzusha.
"Mchezo uliokuwa unafanywa Arumeru nilianza kuufanyia kazi muda mrefu baada ya kuona madiwani wanaondoka kama njugu. Ushahisdi wa kifaa kilichotumika kipo tyayari Takukuru na sijataka kuingilia ushahidi wao hivyo ni jukumu lao kuonyesha kwa watanzania namna haki inavyotendeka" Ahimidiwe
Post A Comment: