Rais John Magufuli, amemteua Janeth Masaburi  kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


Magufuli amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa ibara ya 66 (1)(e) ya katiba inayompa mamlaka ya kuteua wabunge 10.

Taarifa iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa ya Rais imeeleza kuwa Janeth Masaburi ataapishwa kwa mujibu wa sheria na taratibu zitakazotangazwa na Bunge.
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: