wanajeshi wa muungano wa afrika amisom hawataondoka katika miji yeyote ya kusini mwa somalikinyume na vyombo vya habari, kwa mujibu wa amisom
kumekuwa na ripoti kuwa wanajeshi hao wamekuwa wakiondoka katika miji mitano ya somali lakini muwakilishi wa umoja huo baloz maman amesema hawataondoka huo ni uzumi unaotaka kuzua hofu
ameongeza kuwa vikosi vya AU vinapangwa ili kuendeleza vita dhidi ya al shabaab

Post A Comment: