
Subscribe ndio neno gumu zaidi kwa wabongo kuliko kutafuna jiwe kama ilivyo kwa Waingereza kutamka Mwanjelwa..husema Monjela
Pamoja na vionjo hivyo..kwenye Simba Day ya mwaka huu ntakuja na style tofauti ya kutambulisha wachezaji...njoo ushuhudie mwenyew..usingoje kuhadithiwa ni Jtano hii pale dimba la Taifa... #SimbaDay #KibingwaZaidi π΅πͺπ΅πͺ
Serikali yatoa tamko kuadimika mafuta ya kula nchini
Waziri Kigwangalla atetea ununuzi wa ndege
Zitto Kabwe amshauri Job Ndugai
Bunge lataka tende zifutwe kodi mfungo wa Ramadhani
Mo Dewji afunguka jinsi anavyopiga pesa kupitia kilimo
Mbunifu wa mavazi amesema mafanikio aliyoyapata yametokana na baba yake kutokana na kumuunga mkono kwa kila analolifanya baba yangu alikuwa ananipa uhuru wa kila jambo nililokuwa nataka kulilifanya , ameuambia mtandao wa dar city center
hata nilipokuwa mbunifu wa mavazi alini support, pesa ya kusokota dreads na kutoboa masikio alinipa yeye.
hata nilipokuwa mbunifu wa mavazi alini support, pesa ya kusokota dreads na kutoboa masikio alinipa yeye.
Post A Comment: