ads
mrembo mwenye mvuto na anayekuja kwa kasi katika tasnia ya filamu bongo movie ester kiama ameweka bayana kuwa hapendi marafiki wa kike na hana

ester alisema kutokana na malezi na maisha yalivyo sasa inabidi aepuke marafiki ambao wengi wao ni wanafiki wengi wanajua naringa lakini sipo hivyo ndio maana muda mwingi natumia kufanya shughuli zangu na kujiepusha na makundi kwani najua madhara yake washikaji wangu ni wanaume kwani najifunza mengi kupitia wao "alisema ester'
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: