ads

Panya, mende, wadudu na vyoo vilivyovunjika ni miongoni mwa vitu vingi vilivyoripotiwa kwa wafanyakazi wa kufanya marekebisho katika Ikulu ya Whitehouse nchini Marekani.


 Ripoti ya vitu vinavyofaa kurekebishwa katika Ikulu ya White house iliyopatikana na chombo cha habari cha NBC Washington ilishirikisha ripoti nyengine ya mwaka uliopita kutoka kwa utawala wa rais Obama ilibainisha kuwa panya na wadudu hao huonekana katika idara mbalimbali zilizomo Ikulu

Panya wanadaiwa kuonekana katika chumba cha kulia chakula cha maafisa wa jeshi la wanamaji.

Walionekana katika majengo, kulingana na taaria iliyotolewa na  Brian Miller, aliyekuwa inspekta jenerali wa kikosi cha huduma za jumla ambacho husimamia marekebisho katika jumba hilo la rais.
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: