
Subscribe ndio neno gumu zaidi kwa wabongo kuliko kutafuna jiwe kama ilivyo kwa Waingereza kutamka Mwanjelwa..husema Monjela
Pamoja na vionjo hivyo..kwenye Simba Day ya mwaka huu ntakuja na style tofauti ya kutambulisha wachezaji...njoo ushuhudie mwenyew..usingoje kuhadithiwa ni Jtano hii pale dimba la Taifa... #SimbaDay #KibingwaZaidi π΅πͺπ΅πͺ
Serikali yatoa tamko kuadimika mafuta ya kula nchini
Waziri Kigwangalla atetea ununuzi wa ndege
Zitto Kabwe amshauri Job Ndugai
Bunge lataka tende zifutwe kodi mfungo wa Ramadhani
Mo Dewji afunguka jinsi anavyopiga pesa kupitia kilimo
Furaha imetawala miongoni mwa mashabiki wa soka nchini Tanzania baada ya mechi ya kirafiki kati ya klabu ya Everton na Gor Mahia ya Kenya katika uwanja wa kitaifa wa Dar es Salaam ulio na uwezo wa kubeba mashabiki 60,000.
Wachezaji wa Everton walipata makaribisho ya kifalme tangu kuwasili kwao siku ya Jumatatu katika taifa hilo la Afrika mashariki.
Mchezaji wa timu ya taifa ya Uingereza Wayne Rooney amevutia umati mkubwa wa mashabiki na wengi wanamsubiri kumuona akicheza katika mechi hiyo.
Mchezaji wa DR Congo Yannick Bolasie alishindana na Rooney kwa kuvutia wafuasi huku mashabiki wa DR Congo wakimtembelea Bollasie.
Walivalia tisheti zenye uso wake.Hatahivyo ni Rooney aliyekuwa kivutio kikuu miongoni mwa mashabiki.
Pia makamu wa rais Samia Suluhu Hassan alikubaliana na hilo.
''Wayne Rooney alinifanya kuiunga mkono Manchester United na sasa sijui nifanyeje kwa sababu amehamia Everton'', alisema.
Na Rooney alimjibu.
''Uwepo wangu hapa ni ni uzoefu wangu mpya na natumai kwamba makamu wa rais sasa ataweza kuiunga mkono Everton''.
Post A Comment: