ads

Rais John Magufuli, amesema ataendelea kuwatetea Watanzania maskini na wenye kipato cha chini kwa sababu hata yeye ameishi maisha duni.


Magufuli ameyasema hayo jana Jumatatu, Julai 10 wilayani Chato wakati wa uzinduzi wa nyumba 50 zilizojengwa na Taasisi ya Mkapa Foundation.

“Nimeuza maziwa, nimeuza furu, nimechunga ng’ombe. Sitaki nisahahu nilipotoka, sitaki nisahau maisha ya Watanzania, sitaki Watanzania wenye maisha ya chini waonewe,” amesema
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: