ads

Rais John Magufuli ameshauri kuongezwa muda kwa maonyesho ya kimataifa ya biashara ya Sabasaba ili kuwapa fursa wananchi wote kuhudhuria na kujionea bidhaa.


Ameyasema hayo leo (Julai 1) wakati akifungua rasmi maonyesho hayo katika viwanja vya Sabasaba na kumtaka waziri mwenye dhamana ya biashara na viwanda kulifikiria suala hilo.

“Ukiongeza muda  hata siku tano au nne, hauwezi kupoteza chochote kwa sababu  wananchi watakuja na watajionea , ni vizuri kama mtakubaliana kuongeza muda ili wakazi wa Dar es Salaam, wapate muda zaidi,” amesema.
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: