ads

Serikali mwaka huu itaanza majaribio ya watu kujipima wenyewe Virusi vya Ukimwi ili kujua faida na hasara zake.


Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Wazee na Watoto, Dk Khamis Kigwangalla amesema bungeni leo (Jumatano) wakati akijibu swali la mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema) Joseph Mbilinyi ambaye alitaka kujua Serikali ina mpango gani wa kuwezesha watu kujipima virusi vya Ukimwi kama ilivyo kwa sukari.

Akijibu swali hilo Kigwangalla amesema majaribio hayo yatagharamiwa na sehemu ya Sh1.7trilioni fedha za mfuko wa Ukimwi, zilizotolewa na Marekani.
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: