
Subscribe ndio neno gumu zaidi kwa wabongo kuliko kutafuna jiwe kama ilivyo kwa Waingereza kutamka Mwanjelwa..husema Monjela
Pamoja na vionjo hivyo..kwenye Simba Day ya mwaka huu ntakuja na style tofauti ya kutambulisha wachezaji...njoo ushuhudie mwenyew..usingoje kuhadithiwa ni Jtano hii pale dimba la Taifa... #SimbaDay #KibingwaZaidi π΅πͺπ΅πͺ
Serikali yatoa tamko kuadimika mafuta ya kula nchini
Waziri Kigwangalla atetea ununuzi wa ndege
Zitto Kabwe amshauri Job Ndugai
Bunge lataka tende zifutwe kodi mfungo wa Ramadhani
Mo Dewji afunguka jinsi anavyopiga pesa kupitia kilimo
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwingulu L. Nchemba, amekabidhi gari la kubebea wagonjwa ambalo limetolewa na Serikali kupitia Wizara ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kituo cha afya cha Ndago kilichopo Wilayani Iramba.
Aidha, amesema kuwa ni marufuku wagonjwa kuombwa kuchangia mafuta ya ambulance hiyo au gharama yoyote ile na kuwataka wagonjwa kutumia gari hilo bure bila kuchajiwa gharama yeyote.
βGari hilo lipatikane kituoni wakati wote, liwe na mafuta ya kutosha na dereva awepo. Gari hili ambalo ni la kisasa litunzwe na kulindwa ili liweze kutumika kwa miaka mingi ijayoβ, amesema Mwigulu.
Hata hivyo, Mwigulu ameishukuru Serikali ya awamu ya tano chini ya rais Magufuli na waziri Ummy kwa msaada huo ambao utaokoa wapiga kura wake na wananchi kwa ujumla.
Post A Comment: