Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba, amesema kama watu waliojihusisha na mchanga wa dhahabu maarufu kama makinikia walitafuta kichaka cha kujificha nyuma ya marais wastaafu, wajihesabie maumivu.
Akiwa jimboni kwake Iramba magharibi kwa ajili ya kusambaza umeme kwenye vijiji mbalimbali amesema kwamba hamna mtu atakayepona katika ishu hii ya makinikia.
Wapo wanaokebehi na kuwataja viongozi hawa wastaafu kwa sababu zao na wengine kwa sababu wanaona wanahusika katika ishu hii na kwamba viongozi hawa hawapaswi kuonewa kwa makosa ya waliokuwa maAgent wa madini. Alisema Waziri Mwigulu Nchemba



Post A Comment: