Tiger Woods anaamini yeye ni mtu wa asili nyingi na hata alijiundia jina mseto kueleza asili yake, na kusema asili yake ni Cablinasian. Cablinasian ni neno linalotokana na
Caucasian(Mzungu), Black American (Mwafrika Mmarekani), American Indian (Mmarekani Asilia), na Asian (Asia). Babake, Earl, alikuwa wa asili ya Mwafrika Mmarekani, Mchina na Mmarekani Asili. Mamake Kultida, ni wa asili ya Thailand, Uchina na Uholanzi.


Post A Comment: